Loading...

USIOGOPE KUWEKA MALENGO/NDOTO MAKUBWA

Loading...
Watu wengi wanakosa kufikia mafanikio MAKUBWA katika maeneo mbalimbali si kwa sababu hawaweki malengo ya kufanikisha katika maeneo hayo bali wanaweka malengo MADOGO na kuyafikia. Ndoto zao si kubwa.

Wengi wanakosa ujasiri wa kuweka malengo makubwa kwa hofu ya kuamini kwamba hawawezi kuyafikia. Tutambue tu kwamba MAFANIKIO MAKUBWA yanakuja kwa kudhamiria kufanikisha MAMBO MAKUBWA.

Unapotengeneza ndoto yako usiangalie UWEZO ulionao kwa SASA bali weka ndoto kubwa kwa kuangalia uwezo ambao UTAUJENGA katika kufanikisha ndoto zako. Ukubwa wa mafanikio yako unategemea ukubwa wa malengo na ndoto zako.

You Deserve The Best!
Vicent Stephen



Tuma neno 'SIRI YA UTAJIRI' kwenda +255765112259 kupata muendelezo wa makala za siri za utajiri punde zinapojiri.
USIOGOPE KUWEKA MALENGO/NDOTO MAKUBWA USIOGOPE KUWEKA MALENGO/NDOTO MAKUBWA Reviewed by By News Reporter on 4/17/2018 12:37:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.