Loading...

WATU 17 WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NCHINI KENYA

Loading...
Watu 17 wameripotiwa kuariki na wengine 44 kujeruhiwa vibaya  katika ajali iliotokea kwa makosa ya kibinadamu baada ya  dereva wa basi hilo kupoteza muelekeo akijaribu kulikwepa lori lililokuwa likijielekeza katika upande wake.
Mkuu wa wilaya ya Narok  nchini Kenya  George  Natembeya amesema kuwa basi hilo lililopata ajali lilikuwa na abiria 63.
Miongoni mwa watu waliofarik katika ajali hiyo walikuemo watoto watatu.
Na Geofrey Okechi.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika Mashariki punde zinapojiri.
WATU 17 WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NCHINI KENYA WATU 17 WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NCHINI KENYA Reviewed by By News Reporter on 4/13/2018 11:45:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.