Loading...
Nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Massawe na mzungu ambaye ni mpenzi wa Staa wa Bongo fleva kutoka WCB Harmonize, Sarah wafufua vita yao upya.
Wolper na Sarah wamerushiana maneno kupitia mtandao wa Instagram ambapo Sarah amemtuhumu Wolper kwa kumtumia meseji za Siri Harmonize huku akijua wazi kabisa ni mpenzi wake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Sarah ameandika maneno haya: "Wewe mwanamke mwenye tamaa... unamtumia meseji mpenzi wangu ikiwa unajua nipo naye na cha ajabu unajiongelesha mwenyewe," akimtolea povu Wolper na amemtaka aishi maisha yake.
Hii sio mara ya kwanza kwa Wolper na Sarah kugombana kisa penzi la Harmonize, siku za nyuma Sarah ameshawahi kuanika kuwa Wolper bado anamtaka Harmonize jambo ambalo Wolper amekuwa akikataa siku zote.
Na Catherine Kisese.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.

WOLPER NA SARAH WA HARMONIZE WAKITIFUA MTANDAONI
Reviewed by By News Reporter
on
4/10/2018 09:33:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: