Loading...

AJALI YA NDEGE NCHINI SAUDIA ARABIA

Loading...
Watu wanne waripotiwa kufariki katika ajali ya ndege iliotokea katika mbuga ya al Khunfa. 

Taarifa hiyo imetolewa na  uongozi wa mbuga hiyo jangwani. Miongoni mwa wahanga katika ajali hiyo ni mkurugenzi wa mbuga hiyo na kiongozi wa marubani.

Ajali hiyo imetokea Jumanne.

Mkurungezi wa al Khunfa Saud al Shamri  na Jodeid al Shamlani, rubani msaidizi  Mohammed bin Mofleh Qathami na Mojzaa al-Shamri wamefariki katika jali hiyo.

Hakuna taarifa ilitolewa kuhusu sababu zilizopelekea ajali hiyo.
Na Geofrey Okechi.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
AJALI YA NDEGE NCHINI SAUDIA ARABIA AJALI YA NDEGE NCHINI SAUDIA ARABIA Reviewed by By News Reporter on 5/15/2018 03:58:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.