Msanii Diamond Platinumz amefanya uzinduzi wa wimbo wa colours alioimba na Jason Derulo, wimbo ambao ni maalum kabisa kwa ajili ya Kombe la Dunia mwaka huu litakalofanyika huko nchi Urusi.katika ufunguzi wa kombe la dunia nchini humo.
Wimbo huo utaimbwa na wasanii hawa na kubwa zaidi ni kwamba kwa zaidi ya miaka 20 ya Kombe la Dunia bendera ya Tanzania haikuwahi kupeperushwa katika majukwaa ya Kombe la Dunia lakini itakuwa ni kwa mara ya kwanza bendera hiyo kupeperuka katika kombe la dunia kutokana na ushiriki wa Diamond. Picha zaidi...

Mkurugenzi wa coca cola Basil Godzioz
Loading...
OuSAx4SiJ6scAYN64V_ZFRoD0LcQZHBZG1fYr0HqSo1sqL0bwxH_UfVRHkZaw8bTkTaswZ-YAIif7uT8dbJ0YFcGrW2HblY/s1600/MZUKA-SERENA-1-300x200.jpg" imageanchor="1" style="margin-left: 1em; margin-right: 1em;">

Mkurugenzi wa coca cola akikata keski katika ufumbuzi huo.
Diamond akiwapagawisha mashabiki wake katika ukumbi wa serena hotel
Na Neema Bushubo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
DIAMOND AFANYA UZINDUZI WA WIMBO WA KOMBE LA DUNIA
Reviewed by By News Reporter
on
5/17/2018 08:39:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: