Loading...

HARUSI YA KIFALME NA YAKIFAHARI YAFANYIKA UINGEREZA

Nchini Uingereza, kumekuwa na harusi ya kifalme na ya kifahari kati ya Mwanamfalme Harry na Mmarekani Meghan Markle.

Wawili hao ni rasmi sasa kuwa ni  Mume na Mke, baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la Angilika la Mtakatifu George katika eneo la Windsor.

Wawili hao walishangiliwa na kusalimiwa na maelfu ya watu waliokuwa wamejipan
Loading...
a pembezoni mwa barabarani kuwaona baada ya kutoka Kanisani.

Miongoni mwa wageni washuhuri walikuwa ni pamoja na Malkia Elizabeth wa pili miongoni mwa wengine kutoka Uingereza na Marekani.

Mwanamfalme Harry, yupo katika orodha ya kuwa miongoni mwa watu wanaoweza kuwa Wafalme wa Uingereza katika siku zijazo.
Na Peter Godwin.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
HARUSI YA KIFALME NA YAKIFAHARI YAFANYIKA UINGEREZA HARUSI YA KIFALME NA YAKIFAHARI YAFANYIKA UINGEREZA Reviewed by By News Reporter on 5/20/2018 12:35:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.