Loading...
Msanii wa filamu za bongo, Steve Nyerere wikiendi iliyopita alipata kigugumizi kuongea moja kwa moja na kuweka wazi juu ya mtoto wake na msanii mwenzake Weru Sengo, picha ambayo ilisambaa sana katika mtandao wa kijamii ikimuonyesha mtoto huyo yupo katika picha ya pamoja na Steve Nyerere.
Hata hivyo baada ya picha hiyo kuweka , siri ilivuja baada ya Wema Sepetu kuongea moja kwa moja kwamba mtoto yule ni wa steve na weru sengo na ndipo waandishi wa habari walipoamua kumpigia simu steve nyerere mwenyewe na kumuuliza juu ya ujume huo ambapo steve akipatwa na kigugumizi na kushida kabisa kuzungmzia swala hilo.
"Alijibu ; mimi sijui chochote waulize walimwengu wanajua…ama unataka abari naomba uandike kuwa mimi nitawafutulisha wasanii wote siku ya jumamosi katika viwanja vya leaders club, kuhusu hizi picha wala sio mimi niliezitupia."
Kwa muda mrefu wasanii hawa wamekuwa wakikata na kusema kuwa hawana uhusiano wowote na kwamba hawataki kulizungumzia hilo.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

KIGUGUMIZI CHA 'NYERERE' KUHUSU MTOTO WAKE
Reviewed by By News Reporter
on
5/28/2018 10:30:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: