Loading...

LIGI KUU YA ENGLAND KUFIKIA TAMATI LEO

Loading...
Ligi Kuu ya England inafikia tamati leo kwa mechi 10 kuchezwa kwa wakati mmoja.

Liverpool ikiwa na alama 72 katika nafasi ya nne inahitaji alama moja ili kufuzu ligi ya mabingwa Ulaya wakati Chelsea inaomba Liverpool ishindwe ili yenyewe ishinde na kufuzu ligi ya mabingwa Ulaya.

Timu za Stoke City, West Bromwich na Swansea City zimeshashuka daraja.

Ratiba ya mechi za kesho ni kama ifuatavyo

Sauthampton inachuana na Manchester City

Swansea na Stoke City

Liverpool na Brighton and Hove Albion

Crystal Palace vs West Bromwich Albion

Burnley vs AFC Bournermouth

West Ham VS Everton

Newcastle vs Chelsea

Manchester vs Watford

Tottenham vs Leicester City

Huddesfierd Town vs Arsenal

Ligi hiyo pia inafikia tamati huku kiungo wa Manchester City Yaya Toure akitangaza kuondoka katika timu hiyo baada ya kuitumikia kwa misimu nane, akicheza zaidi ya mechi 200.
Na Catherine Kisese.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
LIGI KUU YA ENGLAND KUFIKIA TAMATI LEO LIGI KUU YA ENGLAND KUFIKIA TAMATI LEO Reviewed by By News Reporter on 5/13/2018 07:40:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.