MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana amevamia mabondeni Kiburugwa, Kilungule na maeneo mengine kwa ajili ya kuwahimiza Wananchi wote waliojenga kwenye maeneo hatarishi ikiwemo mabonde na sehemu zenye miinuko kuondoka ili kuzuia vifo visivyokuwa na ulazima.
Makonda ametoa kauli hiyo j
Makonda ametoa kauli hiyo j
Loading...
na wakati alipofanya ziara ya kukagua uharibifu wa nyumba zilizovunjika maeneo hayo baada ya wakazi kujenga kwenye maeneo yasiyoruhusiwa.
Aidha Makonda amewaagiza Wenyeviti wote wa mitaa kuainisha nyumba zilizojengwa kwenye maeneo hatarishi ambapo amewataka kutoruhusu watu kuendelea kujenga maeneo ya mabondeni.
Katika kutafuta mwarobaini wa tatizo la wananchi waishio mabondeni Makonda ameandaa mkutano wa wananchi wote waishio maeneo ya mabondeni kwaajili ya suluhisho la kudumu.
Katika ziara hiyo amejionea nyumba nyingi zikiwa zimejengwa kwenye maeneo yasiyo rasmi kiasi kwamba hata ikitokea janga la moto inakuwa vigumu Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kufika na hata mgonjwa akizidiwa gafla kuwa vigumu kuwahishwa hospital jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MAKONDA AVAMIA MABONDENI KIBURUGWA, AWATAKA WAHAME MARA MOJA
Reviewed by By News Reporter
on
5/18/2018 11:33:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: