Loading...
Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Taasisi ya Viwanda, Biashara na Kilimo Tanzania (TCCIA) pamoja na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) inapenda kuutaarifu Umma kuwa Mkutano wa Wadau utakaojadilina kupokea maonikuhusu utekelezajiwa Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi utafanyika tarehe 26 Mei 2018.
Mkutano huu utawakutanisha Waajiri na Wanachama wa Taasisiya Sekta Binafsi Tanzania(TPSF), Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Taasisi ya Viwanda, Biashara na Kilimo Tanzania (TCCIA) wa Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Ruvuma na Songwe na wenye lengo la kuwekeza katika mikoa hii; na Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) pamoja na Mfukowa Fidia kwa Wafanyakazi(WCF).
Imetolewana:
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Jengo la LAPF, Mtaa wa Uhindini, Barabara ya Makole,
S.L.P.2890,
DODOMA, TANZANIA
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MBEYA: TAARIFA KWA UMMA
Reviewed by By News Reporter
on
5/22/2018 12:33:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: