Loading...
Mtazamo na fikra zako ni muhimu sana linapokuja suala zima la mafanikio. Katika saikolojia ya mafanikio ni wazi kwamba mtazamo wa mtu juu ya mafanikio una mchango mkubwa katika kumpatia mtu huyo mafanikio.
Mafanikio kwa kiasi kikubwa yanaanza na mtazamo wako, lazima kwanza uyaone mafanikio katika mawazo na fikra zako kabla hujaanza kufanyia kazi lengo lako.
Haiwezekani ukawa unafikra za kushindwa na hofu ndani yake kisha ukategemea kufanikiwa katika jambo hilo. Leo hakikisha unatengeneza kwanza mazingira ya ndani (fikra na mtazamo) ili utakapoanza kufanyia kazi ndoto yako mazingira ya ndani yawe rafiki na yenye kuchochea mafanikio.
You Deserve The Best!
Vicent Stephen
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MTAZAMO NA FIKRA ZAKO NI MUHIMU SANA LINAPOKUJA SWALA ZIMA LA MAFANIKIO
Reviewed by By News Reporter
on
5/05/2018 02:41:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
5/05/2018 02:41:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: