Loading...

NECTA: MITIHANI YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU KUANZA MEI 7

Loading...
KATIBU MTENDAJI wa Balaza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Charles E. Msonde leo ameongea na wanahabari  jijini Dar es Salaam na kusema mitiani ya kidato cha sita (ACSEE) na Ualimu itafanyika tarehe 7 hadi 25 Mei 2018 katika jumla ya Shule za Sekondari 674, Vituo vya Watahiniwa wa Kujitegemea 231 na Vyuo vya Ualimu 125 Tanzania Bara na Zanzibar.

Na Neema Joshua.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
NECTA: MITIHANI YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU KUANZA MEI 7 NECTA: MITIHANI YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU KUANZA MEI 7 Reviewed by By News Reporter on 5/06/2018 09:55:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.