Loading...
Waziri wa habari utalii na mambo ya kale Mhe Mahmoud thabit kombo akiongoza ujumbe wa viongozi kadhaa wa serikali mjini Muscat Oman kusaini makubaliano ya matengenezo makubwa ya beit el ajaib yatakayogharamiwa na serikali ya Oman.
Katika ujumbe wake amefuatana na mkutugenzi wa mamlaka ya uhifadhi na uendelezaji mji mkongwe issa makarani na mwakilishi wa kikitoupele Ali Suleiman Ali (SHIHATA)
Katika ujumbe wake amefuatana na mkutugenzi wa mamlaka ya uhifadhi na uendelezaji mji mkongwe issa makarani na mwakilishi wa kikitoupele Ali Suleiman Ali (SHIHATA)
Na Mohamedi Makame.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za utalii punde zinapojiri.
OMAN KUKARABATI ZANZIBAR BEIT EL AJAIB
Reviewed by By News Reporter
on
5/04/2018 09:33:00 AM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
5/04/2018 09:33:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: