Loading...

SERGIO RAMOS KUSHTAKIWA FIFA NA MWANASHERIA KUTOKA MISRI

Loading...
Mwanasheria nchini Misri aitwae Wahaba amedhamiria kuruka nae Sergio Ramos mpaka FIFA kuhakikisha anamkomesha mchezaji huyo na ameapa endapo atashinda kesi Ramos atalazimika kumlipa Salah Euro Bilioni 1.

Wahada katika barua yake anasema Ramos alidhamiria kumuumiza Salah huku akitoa video ambazo Ramos amekuwa akifanya kuwa ni kawaida yake.
Na Peter Godwin.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
SERGIO RAMOS KUSHTAKIWA FIFA NA MWANASHERIA KUTOKA MISRI SERGIO RAMOS KUSHTAKIWA FIFA NA MWANASHERIA KUTOKA MISRI Reviewed by By News Reporter on 5/29/2018 10:34:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.