Loading...

WATALII WALIOKUWA WAMETEKWA WAACHWA HURU CONGO

Loading...
Watalii wawili kutoka nchini Uingereza  waliokuwa wametekwa  Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo waachwa huru.

Watalii hao walitekwa walipokuwa wakitalii katika mbuga ya Virunga Ijumaa. Watu ambao hawakujilikana waliwateka  watalii hao.

Taarifa zilizotolewa na  nyanzo vya habari Uingereza na JK Kongo zimefahamisha kuwa watalii hao waliachwa huru Jumapili.

Tangazo lililotolewa na waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Boris Johnson ametoa pongeza kwa uongozi wa  shirika la kulinda mazingira Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ushirikiano wake ambao umepelekea watalii hao kuachwa huru.
Na Neema Joshua.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
WATALII WALIOKUWA WAMETEKWA WAACHWA HURU CONGO WATALII WALIOKUWA WAMETEKWA WAACHWA HURU CONGO Reviewed by By News Reporter on 5/16/2018 03:00:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.