Loading...

MWENYEKITI WA MTANDAO WA WASANII TANZANIA (SHIWATA), AFARIKI DUNIA

Loading...
Mweyekiti wa Mtandao wa wasanii Tanzania (Shiwata), Cassim Twalib almaarufu kama 'Teacher'

Alifariki jana Mchana katika HOSPITAL AMANA jijini Dar es salaam

Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga Magereza na mazishi yatafanyika leo Bagamoyo Kijiji  mangesangi Mkoani Pwani saa 7 mchana

Mwili wa marehemu utaondoka nyumbani kwake Ukonga na kuelekea Bagamoyo saa 3 kamili asubuhi

Wasanii na wadau wote mnaomba muwahi kufika kwa muda kwa ajili ya safari hiyo kabla ya saa 3 asubuhi. 

Usafiri upo wa kwenda na kurudi kwa shilling elfu tano 5.000/=.

'TUNASEMA KWA PAMOJA, MUNGU PUMZISHA ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI'
Na Neema Joshua.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MWENYEKITI WA MTANDAO WA WASANII TANZANIA (SHIWATA), AFARIKI DUNIA MWENYEKITI WA MTANDAO WA WASANII TANZANIA (SHIWATA), AFARIKI DUNIA Reviewed by By News Reporter on 6/10/2018 08:16:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.