Loading...

TAARIFA KWA UMMA: JPM AFANYA UTEUZI CHUO KIKUU MUHIMBILI

Loading...
Rais  John Magufuli amemteua Prof Andrew Barnabas Pembe kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu kiongozi, Balozi John Kijazi kupitia Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa uteuzi wa Prof. Pembe umeanza siku ya jana.

Kabla ya uteuzi huo Prof. Pembe alikuwa Mhadhiri  na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo hicho anayeshughulikia taaluma, utafiti na ushauri.
TAARIFA KWA UMMA: JPM AFANYA UTEUZI CHUO KIKUU MUHIMBILI TAARIFA KWA UMMA: JPM AFANYA UTEUZI CHUO KIKUU MUHIMBILI Reviewed by By News Reporter on 6/02/2018 08:37:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.