Loading...
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndungulile, ameiagiza idara ya afya mkoani Simiyu, kutafuta njia ya kuwapata zaidi ya watu 10,000 mkoani humo wanaoishi na virusi vya Ukimwi ambao wanadaiwa kuacha kuhudhuria kliniki.
Dk. Ndungulile alisema idadi hiyo ni kubwa na kuna hatari ya kuongezeko maambukizi mapya ya ugonjwa huo ikiwa watalaamu wa afya kwa kushirikiana na viongozi watashindwa kuwatafuta na kuwapata kujua kama wanaendelea na matibabu au wameacha.
Naibu Waziri alitoa agizo hilo alipozungumza na viongozi wa mkoa huo wakiwamo watalaamu wa afya katika ziara yake ya siku mbili mkoani Simiyu.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MHE. NDUNGULILE AAGIZA KUTAFUTWA KWA WANAOISHI NA VVU WALIOACHA KWENDA KLINIKI - SIMIYU
Reviewed by By News Reporter
on
7/23/2018 10:06:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: