Loading...

MUGABE APOTEZA ULINZI BAADA YA KUUNGA MKONO UPINZANI

Loading...
Rais mstaafu wa nchini Zimbabwe, Robert Mugabe amepokonywa ulinzi wa serikali baada ya kumshtumu rais Mnangagwa kwa kutokuwa muungwana.

Mugabe amesema msaidizi wake huyo alikuwa ni muhujumu uchumi mzuri katika utawala wake, na kipindi walipokuwa madarakani alijipatia pesa kwa njia isiyo halali na alipomuuliza hizo pesa amezipereka wapi alidai alienda kulipia ada watoto wake.

Rais huyo mstaafu amedai hatokwenda kumpigia kura Bw. Mnangagwa na badala yake atapigia kura upinzani. Hatua hiyo aliyochukua Mugabe imeperekea kupokonywa ulinzi aliopewa na serikali kwa ajili ya kumlinda yeye na familia yake.
Na Paskali Joseph.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MUGABE APOTEZA ULINZI BAADA YA KUUNGA MKONO UPINZANI MUGABE APOTEZA ULINZI BAADA YA KUUNGA MKONO UPINZANI Reviewed by By News Reporter on 7/30/2018 06:40:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.