Loading...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, ambaye amewania kwa mihula miwili hadi sasa, ameagiza kufunguliwa kwa shule ya siasa kwa ajili ya Chama Cha SPLM.
Kiir, kwa mujibu wa mtaala uliopitishwa Julai 19, wanachama wote wa ngazi za juu serikali wanatakiwa kuanza kozi katika taasisi hiyo iliyoanzishwa.
Mtaala umeelekezwa kwa wale watakaojiunga na taasisi ni wale ambao watakuwa na mshikamano na Makamu Mwenyekiti wa Chama tawala cha SPLM, James Wani Igga.
Mahali Chuo hicho kitakapokuwa hakijaorodheshwa katika mtaala mpaka sasa.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

RAIS WA SUDAN AAGIZA KIFUNGULIWE CHUO CHA SIASA KWA AJILI YA WATUMISHI WA SERIKALI
Reviewed by By News Reporter
on
7/21/2018 06:13:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: