Loading...

BREAKING NEWS: BOBI WINE AACHIWA HURU

Loading...
Mahakama nchini Uganda, imemfutia mashtaka na kumuachia huru mbunge wa Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine.

Leo asubuhi mbunge huyo alipelekwa kwa helikopta maalum hadi Gulu na baadaye alipandishwa kwenye mahakama ya kijeshi, iliyopo eneo la Makindye.

Awali Boni Wine alisomewa mashtaka ya kumiliki silaha ikiwamo bomu kinyume na sheria.

Hata hivyo taarifa ya Mahakama imesema kwamba mbunge huyo atakuwa anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.
Na Fatma Pembe.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
BREAKING NEWS: BOBI WINE AACHIWA HURU BREAKING NEWS: BOBI WINE AACHIWA HURU Reviewed by By News Reporter on 8/23/2018 11:47:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.