Loading...
Dwayne 'The Rock' Johnson karibu ameongeza mapato kwa mara mbili zaidi ya mapato yake ya 2017, na kutengeneza jumla ya kiasi cha dola za kimarekani $119 milioni na kumfanya awe wapili katika orodha hiyo kwa mujibu wa jarida la Forbes.
Anayeshikilia rekodi ya kulipwa pesa nyingi kwa sasa ni George Clooney, ambaye ametengeneza zaidi ya dola za kimarekani $239 milioni kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita.
Huku kwa upande wa waigizaji wanawake aliyeshikilia usukani ni muigizaji Scarlett Jahannson akitengeneza jumla ya kiasi cha dola za kimarekani $40.5 milioni. Kwa kiasi hicho kinamuweka namba 7 katika orodha ya wanaume.
Ifuatayo ni kumi bora ya waigizaji wa kiume wanaolipwa pesa nyingi zaidi:-

- George Clooney - $239m
- Dwayne Johnson - $119m
- Robert Downey Jr - $79m
- Chris Hemsworth - $64.5m
- Jackie Chan -$45.5m
- Will Smith - $42m
- Akshay Kumar -$40.5m
- Adam Sandler - $39.5m
- Chris Evans - $34m
- Salman Khan - $33.5m
Ifuatayo ni kumi bora ya waigizaji wa kike wanaolipwa pesa nyingi zaidi:-
- Scarlett Johansson - $40.5m
- Angelina Jolie - $28m
- Jennifer Aniston - $19.5m
- Jennifer Lawrence - $18m
- Reese Witherspoon - $16.5m
- Mila Kunis - $16m
- Julia Roberts - $13m
- Cate Blanchett - $12.5m
- Melissa McCarthy - $12m
- Gal Gadot - $10m
Na Mary Mkeu.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
FORBES YATOA ORODHA YA WAIGIZAJI WANAOLIPWA ZAIDI DUNIANI
Reviewed by By News Reporter
on
8/23/2018 12:52:00 PM
Rating:
![FORBES YATOA ORODHA YA WAIGIZAJI WANAOLIPWA ZAIDI DUNIANI](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWVN4NEuA6gGrLY3D_oOwvWHhtW9Vnhf1hE6zODqAZuIvalZLIyEj5zxtutn8FI_Z1mNsdRHaRhvv9GageC5p0ZJcmEIZ5YR5M5RXqmJNLoS1k4GUpEw1s_AxeVtuHyaBMjnBWyVj34o0/s72-c/Forbes+highest-paid+actor.jpg)
Hakuna maoni: