Loading...
Ripoti ya hivi karibuni inasema rapa Kanye West yupo mbioni kuwa bilionea kama alivyo shemeji yake, pongezi ziende kwa bandi ya Yeezy. Lakini waki huo huo mama mtoto wa msaidizi wake binafsi wa muda mrefu amesema sio kweli.
Mwanamke aliyejulikana kwa jina Jazerai ni mama mtoto wa msaidizi wake Kanye wa muda mrefu, Knarly DB. Hivi karibuni amefunguka kupitia chaneli za podcast na kumshtumu Kanye kwamba amefulia na hawezi hata kulipa wafanyakazi wake.
Kulingana na Jazerai, Kanye ana uwezo wa kulipa wafanyakazi wake wa juu ujira wa dola $200 za kimarekani. Aliendelea na kudai kwamba Kanye ana matatizo ya kifedha na hajalipa mshahara wafanyakazi kwa kipindi cha miezi 12.
Na Marry Mkeu.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MAMA MTOTO WAKE NA MSAIDIZI WA KANYE ADAI KANYE WEST SIO BILIONEA, BALI NI UVUMI TU!
Reviewed by By News Reporter
on
8/06/2018 11:18:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: