Loading...

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUMHUSU HAYATI KOFI ANNAN

Loading...
Rais wa Ghana Nana Akufo- Addo aliwaongoza viongozi wengine wa bara la Afrika katika kutuma jumbe za rambi rambi baada ya kifo chake nchini Uswizi.

Huku Akufo akimtaja marehemu Annan kama kiongozi shupavu na mwandani wa karibu, Uhuru alimkumbuka kama shujaa si Afrika tu bali ulimwenguni kote ambaye mchango wake katika kuleta amani usio na mfano.

Tunakuleta mambo 10 usiyoyajua kumhusu hayati Koffi Annan:

1. Alizaliwa Aprili 8, 1938 katika mji wa Kumasi, Ghana.

2. Annan na Efus Atta walizaliwa mapacha lakini dadaye huyo akafariki 1991.

3. Babake alikuwa waziri wa Ashanti 

4. Alisomea katika shule ya Mfantsipim nchini Ghana 

6. Alikuwa gwiji katika lugha za Ufaransa, Kiingereza pamoja na baadhi ya lugha za Afrika. 

7. Alimuoa Nane Lagergren Annan mnamo mwaka wa 1984 baada ya kumtaliki mkewe wa kwanza.

8. Kama katibu mkuu wa umoja wa mataifa, alimzuru gwiji wa siasa Baffour Akoto 2001. 

9. Angali ana familia, Kumasi 

10. Alizuru Kumasi 2017 kuhudhuria mazishi ya Asantehemaa.
Na Paskali Joseph.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUMHUSU HAYATI KOFI ANNAN MAMBO 10 USIYOYAJUA KUMHUSU HAYATI KOFI ANNAN Reviewed by By News Reporter on 8/20/2018 07:51:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.