Loading...

MAUA SAMA, HARMONIZE, RAY VANNY NA DIAMOND PLATINUMZ WANG'ARA TUZO ZA AFRIMA

Loading...
Tuzo za AFRIMA nchini nigeria imetoa orodha ya wasani watakaoshindanishwa katika vipengele mbalimbali katika mashindano hayo.

Huku wasanii kutoka katika lebel ya WCB wakiongoza katika vipengele mbalimbali huku wasanii wengine wakishindwa kuonekana katika vipengele vyovyote.

Kwa upande wa wasanii wa kike, ni msanii Maua Sama pekee aliyeweza kuingia katika mashindano hayo katika kipengele cha Best Female of Eastern Africa.
Na Neema Joshua.





Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MAUA SAMA, HARMONIZE, RAY VANNY NA DIAMOND PLATINUMZ WANG'ARA TUZO ZA AFRIMA MAUA SAMA, HARMONIZE, RAY VANNY NA DIAMOND PLATINUMZ WANG'ARA TUZO ZA AFRIMA Reviewed by By News Reporter on 8/16/2018 08:35:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.