Loading...

SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII HIZI HAPA

Loading...
TANGA IN DAR
Lini: Jumamosi, Agosti 18
Mahali: Dance Art Fusion Academy
Kwanini: Tango ni dansi yakusisimua
inaypendwa karibu duniani kote.

KIMYA KIMYA NIGHT
Lini: Jumamosi, Agosti 18
Mahali: Maweni Kigamboni
Kwanini: Ni kiwanja kitakacho waka
kwa burudani na cocktails za nguvu
huku ukitazama mechi kali kati ya
Chelsea na Arsenal.

WEEKEND GIG
Lini: Ijumaa, Agosti 17
Mahali: Mint Club, Bukoba
Kwanini: Ni muda wa kutoa uchovu
wa wiki nzima huku ukipata burudani
ya muziki na vinywaji murua.

CLUB LEGENDS
Lini: Ijumaa, Agosti 17
Mahali: Club Legends, Dar es Salaam
Kwanini: Ni usiku kama hautotokea
tena pale tunakumbuka ya zamani kwa
MaDj wakali toka Tanzania.
Na Mary Mkeu.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII HIZI HAPA SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII HIZI HAPA Reviewed by By News Reporter on 8/17/2018 09:29:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.