Loading...

VIONGOZI MBALIMBALI WAENDA KUMFARIJI RAIS MAGUFULI HUKO CHATO NA KUSHIRIKI MAZISHI YA Bi MONICA MAGUFULI

Loading...
Mzee Mkapa ameambatana na mkewe Mama Anna Mkapa na mzee Kikwete naye aliambatana na mkewe, Mama Salma Kikwete.

Marais Wastaafu wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete na wengine kutoka nchi jirani wamewasili jijini Mwanza leo Agosti 21, 2018 wakielekea Chato mkaoni Geita kuhudhuria mazishi ya Dada wa Rais Dkt. John Magufuli, Monica Magufuli anayetarajiwa kuzikwa leo.
Bi. Monica alifariki dunia Jumamosi iliyopita, Hospitali ya Bugando alikokuwa amelazwa akipatiwa matuibabu.
 Waziri Lukuvi akisalimiana na viongozi wa majeshi mbali mbali uwanjani hapo. Baada ya kuwasili.
Raila Odinga kiongozi wa nchini Kenya naye aliwasili Chato, kumfariji rais Magufuli.
Na Paskali Joseph.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
VIONGOZI MBALIMBALI WAENDA KUMFARIJI RAIS MAGUFULI HUKO CHATO NA KUSHIRIKI MAZISHI YA Bi MONICA MAGUFULI VIONGOZI MBALIMBALI WAENDA KUMFARIJI RAIS MAGUFULI HUKO CHATO NA KUSHIRIKI MAZISHI YA Bi MONICA MAGUFULI Reviewed by By News Reporter on 8/21/2018 04:10:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.