Loading...
Kilitokea kizaazaa katika kijiji cha Ilesi, kaunti ya Kakamega, Kenya, huku wenyeji wakimnasa mwanamke aliyedaiwa kuwa mchawi baada ya kumpata akiwa na zaidi ya chupi 50 zilizoibwa.
Jamaa ambaye aliomba jina lake lisitajwe aliuambia mtandao mmoja wa habari nchini humo kuhusu jinsi walivyomnasa mwanamke huyo.
''Tulifanya mpango wa kumnasa mwizi wa chupi zetu. Tuligundua kuwa kijana huyo ndiye huchukua chupi hizo na kumpelekea mamaye ili kuzitumia kwa uchawi,'' alisema.
Kulingana na jamaa huyo, zaidi ya chupi 50 zilipatikana katika nyumba ya mwanamke aliyedaiwa kuwa muumini sugu wa kanisa PAG.
'’ Siwezi kuamini macho yangu maana mwanamke huyu ni muunini sugu wa kanisa la PAG. Nilishangaa maana kuna chupi niliyonunua majuzi na kupotea, niliipata kati ya chupi hizo. Kuna sare ya mwanangu pamoja na vitabu vya mtoto wa jirani pia,’’ Nichola Murili alisema.
Jaribio la mwanamke huyo kuomba msamaha na kuwataka wakazi hao wasiivamie nyumba yake ziliambulia patupu huku wakazi wenye asira kali wakikagua kila sehemu ya nyumba hiyo na kutoa kila kitu nje.
Polisi walikuwa na wakati mgumu kuutuliza umma uliojawa na asira ukitaka mwanamke huyo afungiwe nyumbani na asije kutoka nje kama njia ya kumuadhibu.
Na Neema Lila.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

KIZAAZAA: MAMA NA MWANA WANASWA KWA WIZI WA CHUPI
Reviewed by By News Reporter
on
9/26/2018 11:05:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: