Loading...
Producer Pancho Latino ambae alifanya kazi kwenye studio mbalimbali ikiwemo kwa Prince Dullysykes na Hermy B amefariki, chanzo cha kifo chake kimetajwa kwenye taarifa za awali kuwa ni kuzama kwenye maji kwenye kisiwa cha Mbudya Dar es salaam, tunaendelea kufatilia zaidi.
Na Hamisi Shabani.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
Na Hamisi Shabani.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
TANZIA: PRODUCER MAARUFU 'PANCHO LATINO' AFARIKI DUNIA
Reviewed by By News Reporter
on
10/10/2018 06:45:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: