Loading...

ZARI WA DIAMOND ADAI KUISHI BILA MPENZI RAHA SANA

Loading...
Mfanyabishara na mrembo Zari Hassan kwa sasa ni mfano wa ndege huru, baada ya dili la ubalozi wa Bodi ya Utalii ya Uganda, mashabiki wake wengi katika mitandao ya kijamii wamedai kuwa anafurahi maisha ya peke yake.

Mnamo Februari, uhusiano kati ya Diamond na Zari ulivunjika baada sosholaiti huyo kumshutumu mpenzi wake alikuwa akimsaliti kila uchwao.

Kati mfuatano wa posti zake kupitia mtandao wa SnapChat, Zari aliandika kuwa anafurahi kuwa singo.

"Kuishi bila mpenzi ni nzuri, hakuna mawazo, zaidi kuwa na ngozi safi na nyororo", alisema Zari.

Zari kuishi bila mpenzi vizuri kwa kuwa anaogopa kuumizwa tena.
Na Catherine Kisese.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
ZARI WA DIAMOND ADAI KUISHI BILA MPENZI RAHA SANA ZARI WA DIAMOND ADAI KUISHI BILA MPENZI RAHA SANA Reviewed by By News Reporter on 11/08/2018 09:33:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.