Loading...
India imekuwa nchi ya kwanza kurusha sateliti nyepesi kupita zote duniani kwenda anga za mbali
Kwa mujibu wa habari zilizotolewa na shirika la BBC kundi moja la wanafunzi wa elimu ya anga walitengeneza sateliti hio Kalamsat-V2, na ilirushwa angani na shirika la utafiti wa mambo ya anga la India (ISRO) katika kituo cha anga Sriharikota.
Rais wa ISRO K Sivan, alisema Kalamsat-V2 yenye kilo 1 na gram 26 ndio sateliti nyepesi kupatwa kurushwa angani.
Waziri mkuu wa India Narendra Modi, ameipongea ISRO pamoja na wanafunzi waliotengeneza sateliti hiyo.
Na Frank Kavikule.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

INDIA YAWA NCHI YA KWANZA KURUSHA SATELITE NYEPESI ULIMWENGUNI
Reviewed by By News Reporter
on
1/27/2019 08:35:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: