Loading...
Asubuhi ya Ijumaa, Machi 22, Rais Uhuru alichapisha ujumbe mtandaoni akieleza kuwa hatamsaza kiongozi yeyote fisadi hata kama ni wa familia yake.
‘’Ikiwa wewe ni mfisadi tutakupiga vita. Unaweza kuwa dadangu, ndugu yangu ama mshirika wa karibu sana chamani. Sitastushwa na ukabila katika juhudi za kuacha taifa lenye umoja na nitazidi kuitetea Kenya,’’ Uhuru aliandika.
Muda mfupi baadaye, mitandao yake ilidukuliwa na kuilazimisha ikulu kuifunga kabisa.
Akithibitisha hatua hiyo, kiongozi wa wafanyikazi ikuluni Nzioka Waita kupitia kwa ukurasa wake alieleza kuwa kurasa hizo zilifungwa ili kutoa muda kuzisafisha.
"Kuhusu udukuzi wa kurasa za Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Kurasa zote za kijamii zimefungwa ili kuruhusu hatua ifaayo kuchukuliwa," Nzioka.

Na Cosmos Junkya.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
KURASA ZA MITANDAO YA KIJAMII ZA KENYATTA ZADUKULIWA BAADA YA ONYO HILI
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
3/23/2019 08:00:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: