Loading...
Mtanzania Antu mandoza ambaye ni Muigizaji, Mtangazaji na Mjasiriamali pia, amefunguka namna alivyonusurika kwenye ajali ya ndege ya shirika la ndege la Ethiopia iliyotokea jana asubuhi majira ya saa 2.
Antu Mandoza kupitia ukurasa wake wa Instagram, amesema kuwa alitakiwa apande ndege hiyo aina ya Boeing 737 MAX ET302 lakini alibadilisha route na baadae akasikia taarifa za ajali ya ndege hiyo.
Antu anasema alipigiwa simu kibao kutoka kwa watu wake wa karibu wakimuulizia kama yupo hai, hii ni baada ya taarifa za ajli hiyo kusambaa mitandaoni.
Aliandika: "I almost took the Ethiopian plane that crashed today I changed the route to Addis, I’m just landing and seeing the news and so many calls from the few people who knew I’m traveling with Ethiopia worried . God is good . Ningekua marehemu saivi🤭. Mungu mkubwa."
Ajali hiyo ya ndege imeua watu wote (157) waliokuwemo kwenye ndege, hakuna Mtanzania hata mmoja, huku Kenya ikiwa na raia wengi 32 waliofariki kwenye ajali hiyo.

Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MREMBO MTANZANIA AFUNGUKA ALIVYONUSURIKA AJALI YA NDEGE YA ETHIOPIA
Reviewed by By News Reporter
on
3/11/2019 09:30:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: