Loading...
Mzigo wenye mashaka umekamatwa katika uwanja wa ndege kusini mwa New Zealand.
Kulingana na gazeti la "Otaga Daily Times",polisi wamethibitisha kuwa uwanja wa ndege wa Dunebin umefungwa kwa kutilia mashaka mzigo huo kupatikana uwanjani.
Timu maalumu zimepelekwa kuuchunguza mzigo huo.
Tukio hilo limetokea siku mbili baada ya shambulizi la kigaidi katika misikiti miwili lililopolekea vifo vya watu hamsini nchini humo.
Watu takriban hamsini wameripotiwa kupoteza maisha mpaka hivi sasa baada ya gaidi raia wa Australia anayejulikana kwa jina la Brenton Harrison Tarrant mwenye umri wa miaka 28 kufyatua risasi na kushambulia misikiti miwili Al Noor na Linwood mjini Christchurch.

Na Vicky Haunsen.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MZIGO WENYE MASHAKA WAAHIRISHA SAFARI YA NDEGE - NEW ZEALAND
Reviewed by By News Reporter
on
3/18/2019 08:39:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: