Loading...
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa taarifa kwamba wamefikia maamuzi, matumizi ya ndege zote za Boeing 737 Max 8 na Max 9 yasimame mpaka pale ndege hizo zitapofanyiwa majaribio mengine kwa mara ya pili.
Trump, ametoa taarifa hiyo katika mkutano na wanahabari uliofanyika ikulu ya nchi .
Trump amesema maamuzi hayo yaliyofikiwa yatafanyiwa kazi mara moja na Idara inayohusika na masuala ya anfa ya nchi hio (FAA) .
Trump alisema hataki kubahatisha, suala la usalama wa wamerakani na watu wengine ni kipaumbele kwao, akaongeza anadhani kwamba ndani ya muda mfupi Boeing watakuja na majibu, lakini mpaka muda huo watakapokuja na majibu ndege hizo zisitumike.
Kufuatia ajali ya ndege ya abiria aina ya B737 Max 8 ya shirika la ndege la Ethiopian airline, iliopelekea watu wote 157 waliokuwamp kwenye ndege hiyo kupoteza maisha, Nchi mbalimbali duniani zimesimamisha kwa muda matumizi ya ndege aina hizo ikiwamo Uturuki, Singapur, China, Indonesia, Australia, Malesia, Omman, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Uholanzi, Umoja wa Ulaya. Kazakstan, Umoja wa falme za kiarabu, New Zealanda, Fiji India , Hong Kong, Kosovo, Bahrein, Misri na Tayland.

Na Christian Bitebo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
UAMUZI WA RAIS TRUMP KUHUSIANA NDEGE ZA BOEING MAX
Reviewed by By News Reporter
on
3/14/2019 08:20:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: