Loading...

WEEKEND BATA: TEMBELEA VIWANJA HIVI VYA KIJANJA

Loading...
LYRICIST LOUNGE
Lini: Jumamosi, Machi 30
Mahali: Makuti Bar
Kwanini: Lyricist Lounge inakuletea mastaa
na wasanii wachanga katika jukwaa moja.

WEEKEND GIG
Lini: Ijumaa, Machi 29
Mahali: Mint Club, Bukoba
Kwanini: Ni muda wa kutoa uchovu
mwingi wa wiki nzima. Huku ukiburudika
na ngoma zako uzipandazo.

ON THE ROCKS
Lini: Jumamosi, Machi 30
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Imechaguliwa kama kiwanja
maridhawa cha kula bata la nguvu.

CLUB LEGEND
Lini: Jumamosi, Machi 30
Mahali: Club Legend
Kwanini: Ni usiku kama hakuna usiku
mwingine kuwahi kutokea, ukiburudishwa
na maDj wa kali wakicheza ngoma za kitambo
Na Geofrey Okechi.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
WEEKEND BATA: TEMBELEA VIWANJA HIVI VYA KIJANJA WEEKEND BATA: TEMBELEA VIWANJA HIVI VYA KIJANJA Reviewed by By News Reporter on 3/29/2019 09:22:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.