Loading...
LYRICIST LOUNGE
Lini: Jumamosi, Aprili 06
Mahali: Makuti Bar
Kwanini: Lounge itakupa burudani ya uwakika
itakayojumuisha wasanii wachanga na mastaa.
ON THE ROCKS
Lini: Ijumaa, Aprili 05
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Imechaguliwa kama kiwanja kikali
cha burudani na chenye vinywaji vya bei rahisi.
CLUB LEGENDS
Lini: Jumamosi, Aprili 06
Mahali: Club Legend
Kwanini: Ni usiku ambao hutojuta kuufurahia
huku tukifurahia madj wa zamani, kwakupiga
ngoma kali.
WEEKEND GIG
Lini: Ijumaa, Aprili 05
Mahali: Mint Club, Bukoba
Kwanini: Ni muda wa kutoa uchovu wa wiki
nzima baada ya kazi ngumu huku tukiburudika
kwa nyimbo laini.

Na Fikiri Salmini.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII, USIKOSE
Reviewed by By News Reporter
on
4/05/2019 09:59:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: