Loading...
Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imesema ifikapo mwaka 2050 idadi ya watu duniani kufikia bilioni 9.7.
Mwaka 2019 Idadi ya watu duniani inakadiriwa kuwa ni bilioni 7.7, Idadi hiyo bado inaonyesha kuendelea kukua ingawa ni kwa kiwango kidogo.Idadi ya watu ifikapo mwaka 2050 inatarajiwa kufikia bilioni 9.7, na ifikapo mwisho wa karne idadi hiyo inatarajiwa kufikia bilioni 11.
Ripoti yenye kichwa 'Mapitio na Tathmini ya Mpango wa Mkutano wa Kimataifa wa Idadi ya Watu na Maendeleo na mchango wake katika ufuatiliaji na uhakiki wa Agosti 2030 ya Maendeleo Endelevu' iliwasilishwa katika mkutano wa 52 wa Tume ya Umoja wa Mataifa ya Idadi ya Watu na Maendeleo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres.
Katika ripoti hiyo aidha imeelezwa kwamba, Ongezeko mfululizo la idadi ya watu pamojana na ustawi wa jamii unaotarajiwa litaathiri kwa kiasi kikubwa mfumo ikolojia na maliasili.

Na Frank Julius.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
UN RIPOTI: KUFIKIA MWAKA 2050 IDADI YA WATU INAKADIRIWA KUFIKIA BILIONI 9.7
Reviewed by By News Reporter
on
4/03/2019 12:00:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: