Loading...
Nyota wa klabu bingwa Paris-Siant Germain Neymar anaripotiwa kuitisha kitita cha pauni 1.2 millioni (Tshs 3.4 bilioni) pesa taslimu kila wiki kujiunga na kikosi cha Real Madrid msimu huu.
Klabu hiyo ya Real inaazimia kumsajili nyota huyo raia wa Brazil kuimarisha kikosi chake katika michuano mikali inayowasuburi msimu ujao.
Bingwa huyo kwa sasa anapokea mshahara wa pauni 622,00 millioni (Tsh 1.6 bilioni) kila wiki baada ya kuandikisha rekodi ya kulipwa pauni 198 millioni mwaka wa 2017 akikisakatia dimba klabu cha Barcelona.
Ripoti hiyo pia inadokeza kuwa Madrid watalazimika kumbwaga Gareth Bale na kumnyakuwa Neymar kuiziba nafasi hiyo.
Kwa sasa Gareth Bale ndiye mchezaji mwenye mshahara mkubwa kwenye kikosi cha Madrid licha ya wafuasi wa klabu hiyo kutomkubali.
Hata hivyo, Neymar si mchezaji pekee anayemezewa mate na Madrid kwani klabu hicho kinapania kumsajili bingwa wa Chelsea Eden Hazard na mshambualiji matata Kylian Mbappe.
Huenda Hazard akajiunga na Bernabeu baada ya michuano ya fainali za UEFA dhidi ya watetezi wao Arsenal.

Na Khamisi Juma.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
NEYMAR: NATAKA MSHAHARA WA BILIONI 3.4 KWA WIKI KIJIUNGA NA REAL MADRID
Reviewed by By News Reporter
on
5/28/2019 08:22:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: