Loading...
a ya kuishambulia Iran nilisimamisha mashambulizi hayo kwa kuwa hayakuwa na uwiano” alisema Trump.
Donald Trump anasema aliambiwa kwamba watu wangekufa hivyo akaamua asimamishe mashambulizi hayo.
Rais huyo alirudia kusisitiza kwamba kamwe hawataruhusu Iran kumiliki silaha za nyuklia.
Na Haika Gabriel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

DONALD TRUMP: ZILIBAKI DAKIKA 10 TUISHAMBULIE IRAN
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
6/22/2019 08:13:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: