Loading...
Dundiika News tunakuletea orodha ya nchi zinazoongoza kuuza mafuta ya petroli kwa bei juu zaidi bila kusahau zinazouza kwa nafuu zaidi duniani. Ifuatuayo ni orodha ya bei juu.
1. Hong Kong - Tsh. 5010.95/lita
2. Monaco - Tsh. 4551.23/lita
3. Barbados - Tsh. 4528.24/lita
4. Norway - Tsh. 4482.27/lita
5. Netherlands - Tsh. 4459.28/lita
6. Iceland - Tsh. 4436.30/lita
Zifuatazo ni nchi ambazo mafuta yanauzwa bei rahisi sana:
1. Venezuela - Tsh. 22.99/lita
2. Sudan - Tsh. 298.82/lita
3. Iran - Tsh. 666.59/lita
4. Kuwait - Tsh. 781.52/lita
5. Algeria - Tsh. 804.51/lita
6. Nigeria - Tsh. 942.43/lita
1. Hong Kong - Tsh. 5010.95/lita
2. Monaco - Tsh. 4551.23/lita
3. Barbados - Tsh. 4528.24/lita
4. Norway - Tsh. 4482.27/lita
5. Netherlands - Tsh. 4459.28/lita
6. Iceland - Tsh. 4436.30/lita
Zifuatazo ni nchi ambazo mafuta yanauzwa bei rahisi sana:
1. Venezuela - Tsh. 22.99/lita
2. Sudan - Tsh. 298.82/lita
3. Iran - Tsh. 666.59/lita
4. Kuwait - Tsh. 781.52/lita
5. Algeria - Tsh. 804.51/lita
6. Nigeria - Tsh. 942.43/lita
Na Juma Rashidi.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
FAHAMU NCHI ZINAZOONGOZA KUUZA MAFUTA YA PETROLI BEI JUU
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
6/15/2019 08:52:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: