Loading...

FAHAMU AINA 7 ZA JUISI ZINAZOONDOA SUMU MWILINI

Loading...
Sumu mwilini hutokana na vile vitu au vyakula ambavyo binadamu hutumia huenda kwa kujua au kutokujua. Sumu hizo pia huweza kuchangiwa na matumizi ya yasiyosahihi ya dawa mbalimbali.

Miongoni mwa mbinu bora na nzuri ya kuondoa sumu hizo ndani ya mwili ni pamoja na kutumia vyakula halisi mara kwa mara.

Hapa ninayo orodha ya vinywaji ambavyo huweza kuondoa sumu ndani ya mwili:-

1. Juisi ya mchanaganyiko wa tango na spinachi.
2.Jusi ya mchanganyiko wa tangawizi na spinachi.
3. Juisi ya mchanganyiko wa chungwa na tango.
4. Juisi ya komamanga pamoja na mapera
5. Juisi ya changanyiko wa passion na tango
6. Juisi ya mchanganyiko wa apple na parachichi
7. Juisi ya mchanganyiko wa mbegu za maboga na strawberry
Na Neema Joshua.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
FAHAMU AINA 7 ZA JUISI ZINAZOONDOA SUMU MWILINI FAHAMU AINA 7 ZA JUISI ZINAZOONDOA SUMU MWILINI Reviewed by By News Reporter on 7/03/2019 06:14:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.