Loading...
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linawashikulia watu watatu kwa makosa ya ulawiti na ubakaji wa watoto na wazee huku mtuhumiwa mmoja akiuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akiwa anambaka mwanafunzi wa miaka nane.
Kamanda wa polisi mkoa humo, Giless Muroto ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza jijini Dodoma ambapo mojawapo ya matukia hayo manne yaliyotendeka kwa nyakati tofauti ni pamoja na kijana wa miaka 28 aliyemlawiti mama yake mzazi.
"Alimlawiti mama yake mzazi ambaye ana umri wa miaka 56 kwa kumvizia na tunaamia chanzo inaweza kuwa ulevi au imani za kishirikina," amesema Kamanda Giless Muroto.
Na Fatma Pembe.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

KIJANA WA MIAKA 28 AMLAWITI MAMA YAKE MZAZI
Reviewed by By News Reporter
on
7/05/2019 06:42:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: