Loading...
Kenya. Tukio moja katika kijiji cha Chemaner Kaunti ya Bomet limewaacha wenyeji kinywa wazi baada ya kukosa majibu ya kile kilichotokea.
Kulingana na wakazi, moto mkubwa ulizuka siku ya Jumatano, Julai 10, na kuteketeza nyumba kadhaa kwenye eneo hilo.
Wenyeji hawakupata nafasi ya kuokoa chochote lakini wakati moto huo ulipozima baada ya kuchoma kila kitu na kuwa jivu, kitabu cha Mungu kilionekana kimetulia ndani ya jivu ila hakikuwa kimechomeka.
Biblia hiyo iliwashangaza wengi ni vipi ilibakia bila kuungua licha ya ndimi za moto zilizokuwa zikimeza kila kitu.
Ni tukio ambalo lilisababisha mjadala huku Wakristo wakisema huo ulikuwa na muujiza wa Mwenyezi Mungu.

Na Haika Gabriel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MAAJABU! NYUMBA KADHAA ZATEKETEA KWA MOTO, BIBLIA HAIKUUNGUA HATA KIDOGO
Reviewed by By News Reporter
on
7/12/2019 06:10:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: