Loading...
an style="font-family: Verdana, sans-serif;">Wawili hao wameonekana wakiwa pamoja kwenye Ndege na sehemu mbalimbali sambamba na Msanii ambaye ni Mfanyabiashara pia Akothee kutoka kenya.
Bado haijafahamika nini hasa kimewakutanisha mastaa hao kutoka Afrika Mashariki. Kwa sasa wote wapo nchini Kenya wakiendelea na mipango yao.
Bado haijafahamika nini hasa kimewakutanisha mastaa hao kutoka Afrika Mashariki. Kwa sasa wote wapo nchini Kenya wakiendelea na mipango yao.
Na Neema Joshua.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MSANII DIMPOZ NA ZARI WACHAFUA MTANDAO
Reviewed by By News Reporter
on
7/01/2019 06:08:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: