Loading...

AJIKUTA KIFUNGONI KWA KUWAHUDUMIA PAKA WA JIRANI

Loading...
Huko nchini Marekani, mwanamke mmoja mzee kutoka katika jimbo la Ohio amejikuta matatani baada ya kuhukumiwa kifungo cha siku 10.

Adhabu hiyo alipewa mara baada ya kukuta na hatia ya kuwapa chakula paka wawili waliotelekezwa na jirani yake wakati akihama.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchi hio bibi huyo Nancy Segula alifunguliwa mashtaka na jirani mwengine aliyemuona akiwahudumia paka hao wawili waliotelekezwa.

Katika jimbo la Ohio kuna sharia inayotoa marufuku kuwapa chakula paka na mbwa wa mtaani wasiokuwa na wamiliki.
Na Daudi Juma.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
AJIKUTA KIFUNGONI KWA KUWAHUDUMIA PAKA WA JIRANI AJIKUTA KIFUNGONI KWA KUWAHUDUMIA PAKA WA JIRANI Reviewed by By News Reporter on 8/03/2019 10:10:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.