Loading...
Matumizi ya mtandao ulimwenguni, kuanzia Julai mwaka huu yameongezeka kwa asilimia 56 na kufikia idadi ya watu bilioni 4.33.
Kulingana na data iliyojumuishwa kutoka katika ripoti zilizochapishwa katika Statista ya takwimu za mtandaoni, idadi ya watumiaji wa mtandao inaendelea kuongezeka ulimwenguni.
Kanda ya Asia Mashariki ni ya kwanza na watumiaji wa mtandao wa bilioni 1, wakati eneo la Asia Mashariki na Asia Kusini likiwa na watumiaji milioni 803.
Kulingana na data iliyotolewa na Statista mnamo Machi 2019, China iko juu ikiwa na watumiaji milioni 829.
China inafuatwa na India ikiwa na milioni 560 na Marekani ikiwa na milioni 292.
Tanzania zaidi ya milioni 20 ya idadi ya watumiaji.

Na Frank Samwel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MATUMIZI YA INTANETI YAONGEZEKA KWA KASI ULIMWENGUNI
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
8/06/2019 09:01:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: