Loading...

Daktari aliyefanikisha kupatikana kwa Osama asota jela

Loading...
Kushoto Dkt. Shakil Afridi na kulia ni hayati Osama bin Laden
Baada ya uvamizi wa Marekani ambapo Osama bin Laden aliuawa, Dk Shakil Afridi alikamatwa haraka kwa kuandaa mpango wa chanjo bandia ambao ulisaidia Marekani kimwinda kiongozi huyo wa Al-Qaeda.

Mei 2012 alihukumiwa kifungo cha miaka 33 jela katika kesi iliyosikilizwa na mahakama ya Pakistan nyuma ya milango iliyofungwa. Ingawa alishtakiwa kwa uhaini na ilibadilishwa kuwa kesi ya kushirikiana na makundi yasiyo ruhusiwa.
Daktari aliyefanikisha kupatikana kwa Osama asota jela Daktari aliyefanikisha kupatikana kwa Osama asota jela Reviewed by By News Reporter on 1/24/2018 05:53:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.