Taarifa za awali zinasema mwalimu Ntambi baada ya kuanguka bafuni alikimbizwa hospitali ambako walikofika, wakasema tayari amekwishafariki dunia.Imeelezwa Ntambi alikuwa anasumbuliwa na shinikizo la damu na jana alikwenda hospitali kwa matibabu akaambiwa apumzike.
Hadi mauti yanamkuta jana saa tatu usiku, marehemu alikuwa mwajiriwa wa klabu ya Mwadui FC ambayo uongozi wake umethibitisha kuhusiana na msiba huo.
"MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI"
Hakuna maoni: