![]() |
Bi. Ellen DeGeneres |
Historia Yake
Ellen DeGeneres alizaliwa tarehe 26/01/1958 na sasa ametimiza miaka 59, na ananyota ya 'Ndoo' ni mwanavichekesho raia wa Kimarekani ambaye aling'ara katika Sitcom Ellen miaka ya 90 na baadae akaanzisha onyesho lake mwenyewe la Televisheni maarufu kama The Ellen DeGeneres Show.
Alishawahi kuigiza katika filamu kadhaa kama Mr. Wrong, EDtv, na The Love Letter, na aliingiza sauti kama muigizaji/muhisika Dory katika filamu ya Finding Nemo na Finding Dorry.
Alishawahi kuigiza katika filamu kadhaa kama Mr. Wrong, EDtv, na The Love Letter, na aliingiza sauti kama muigizaji/muhisika Dory katika filamu ya Finding Nemo na Finding Dorry.
Loading...
gn: center;">
Kabla ya Umaaufu
Alishawahi kufanya kazi kama muhudumu wa bar, mpaka rangi za nyumba na kama muhumu katika mgahawa wa TGI Friday's.
Umaarufu wake
Pale alipotambulisha albamu vichekesho vya moja kwa moja iliyojulikana kwa jina la Ellen DeGeneres: Na kushika umaarufu mwaka 1996.
Maisha ya familia
Alishawai kutoka kimapenzi na muigizaji Anne Heche mwaka 1997 hadi 2000 na baadae Alexandra Hedison kuanzia mwaka 2001 hadi 2004.
Na mwisho wa siku aliolewa na Portia de Rossi tarehe 6/08/2008.
"Kwa pamoja tunasema heri ya kuzaliwa Bi. Ellen DeGeneres kwa kutumiza miaka 59 na ubarikiwe maisha marefu zaidi."
Heri ya furaha ya kuzaliwa - Mchekeshaji Bi. Ellen DeGeneres (59)
Reviewed by By News Reporter
on
1/26/2018 11:38:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: